INFO:
“Risasi” Kwa Mkutano Wa Natembeya Katika wadi ya Chwele Kabuchai mkutano wa siasa wa gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ulikatizwa ghafla...
“Risasi” Kwa Mkutano Wa Natembeya Katika wadi ya Chwele Kabuchai mkutano wa siasa wa gavana wa kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya ulikatizwa ghafla baada za milio iliyosemekana kuwa ya risasi kusikika.#NTVWikendi | NTV Kenya